URBAN PULSE walipata fursa ya kukutana na Sporah show kwa ajili ya kutangaza na kuhamahisha vita dhidi ya malaria duniani kote.
Show hii itaonyeshwa leo usiku 15.11.10 hapa Uk kwenye Ben Tv saa tatu na nusu (21.30) ndani ya sky channel 184 Na pia itarushwa katika star tv ambayo ipo Tanzania muda sio mrefu. Tafadhali usikose.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Sporrrraaaaaa NOT Spollaaaa. Ha ha ha
ReplyDeletedada kazi unaiweza sana tu. Napenda sana unavoiteract na guest wako kwenye show.
Hope to meet you sometime Spora
How to watch this show jamani huku India???? Inaonekana iko Juu.
ReplyDeleteInafurahisha sana kuona vijana wetu wanafanya mambo kama haya.
ReplyDeletehongereni sana vijana na Mungu awazidishie.
Nakubaliana na anonymous juu hapo, kwakweli napenda unavyointeract na watu kwenye show, Yani utadhani hamna camera's vile, Your so real Sporah i really like your show. Keep it up girl.
ReplyDeleteNilichokiona kama critic ni kama ifuatavyo.
ReplyDeleteNocha nenda ukajifunze kiingereza cha kuongea,inaonekana unacho cha kuandika na wewe Mr miwani zungumza kwa data na facts acha habari za mtaani,maana unakatiza na unazungumza kama unaongea na rafiki sio kama uko kwenye show. Mwisho Bwana masuti ondoa jazba, mikono mingi mino kuliko maneno, Ujumbe unao ila haufiki itakiwavyo.
Otherwise kwa wote nyie watatu kazi nzuri kwa kusaidia kuondoa malaria TZ, endelezeni hii kazi nzuri na mnaonyesha mko katika right path kimawazo kwa ajili y kuleta maendeleo.
MMh, Kaugonjwa kangu haka, jamani Ankal huyu dada mbona ivi? Anaisumbua roho yangu? Na Hao urban pulse wanambusuje mtu kwanguvu ivo?????
ReplyDeleteMdau USA
Urban Pulse na Sprah show hongereni kwa kutuletea mahojiano haya. Ninependa tu kuongeza machache hapo, naona Urban Pulse bado mpo kwenye msisitizo wa kuelimisha watu kuhusu malaria, mimi nafikiri elimu kuhus malaria sasa hivi itatolewa ya kutosha, isipokuwa pesa nyingi zinazotolewa katika mapambano dhidi ya gonjwa hili zinaliwa kinyemela kabla ya kutimiza malengo. Na lengo nilalozungumzia hapa ni kuelekeza nguvu katika kupambana na vyanzo vy amazalio ya mbu, madawa na pia kuhakikisha mazingira wanayoishi watu ni masafi siku zote....Ukienda Bongo leo hii, madimbwi bado ni mengi...sasa hata ununue vyandarua milioni, kama mbu bado wanaendelea kuzaana, itakuwa ni tabu kulimaliza tatizo. Yaani mmbu mmoja ni mkubwa kama inzi! Kama mlivyokumbusha "prevention is better than cure"........
ReplyDeleteSporah nywele hizo mdogo wangu, Uko juu mdodo wa Kichaga.
ReplyDeleteUrban Pulse shikilieni hapo hapo asiwaambie mtu.
Hongereni sana vijana.
MH GUYS NEED TO TAKE ENGLISH COURSE. PULL OUT BLOOD WHAT KIND OF ENGLISH IS THIS. MR NI DRAW THE BLOOD
ReplyDeleteUncle Michuzi,
ReplyDeleteAsante sana kutuwekea video ya hawa vijana na kutuonesha juhudi zao kupambana na malaria. Nakubali kabisa, suluhu ya tatizo si kuweka tu vyandarua, bali kuua kabisa mazaliano ya mbu. Long live Tanzania Boys!
Mdau,
USA
simuongee kiswahili tu then someone could put english caption...seems hicho kilugha kimekua kigumu....shughuli kwelikweli...too much energy i guess the lost bunch of calories on those ten minutes....mabanda ya kuku...lol!!
ReplyDeleteJamani wakina maimuna tupo wengi naomba mnielekeze wapi wanafundisha kizungu vizuri napenda ongea kizungu lakini sijui nitapata wapi mwl mzuri anifundishe nipo DAR UKUNIONA UTAFIKIRI LUGHA INAPANDA kumbe sijui PLZ PLZ PLZ!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAnonymous wa pili kutoka chini unawasema wenzio hawajui lugha halafu we menyewe kuandika hujui (..too much energy i guess the lost bunch of calories on those ten minutes....mabanda ya kuku...lol!!)ama kweli nyani haoni kundule. afadhali huyo kijana amekuwa mkweli na kuuuliza banda la kuku linaitwaje kizungu
ReplyDeleteJamani hawa Urban Pulse Kiinglishi chao kigumu!!!! If you can pull my Blood!!!
ReplyDelete