Assalam Aleykum ankal.Muandishi wa habari huyu alikuwa ni miongoni mwa waandishi wa TV isiyojulikana kutoka nje ya Zanzibar ambae alikuwa miongoni watu waliofika Michenzani kusherekea kuapishwa kwa Raisi Ali Mohamed Shein.
Vijana wakiwa katika buti la gari ndogo ili kusherehekea ushindi wa Dr Shein pamoja na kuteuliwa kwa Maalim Seif kuwa Makamu wa Rais. Picha na Mdau wa Zanzibar Car Hire Limited.

uncle hiyo ni AK47 au ni kamera? imekaa kama mtutu!
ReplyDelete