Waziri wa Mambo ya Nje wa Zambia Mh.Kabinga Jacus Pande (wa tatu toka kulia) akiwa na waangalizi wa uchaguzi toka nchi za SADC pamoja na balozi wa DR Congo nchini ambaye pia ndiye mkuu wa mabalozi Tanzania Mh. Alfani Mpango (wa pili kulia) na afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania (kati) walipokuwa kijijini Msoga huko Chalinze, mkoa wa Pwani, ambako JK alipiga kura yake. Wasimamizi wa nje wameridhika na jinsi uendeshaji wa zoezi la kupiga kura lilivyoendeshwa na kusema ukiondoa matatizo madogo madogo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.

cheza fair play kaka michu tunasikia ccm imeanguka ubungo,mimi kwetu sinza nina hamu sana ya kujua hili,
ReplyDeletemdau UK