

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ndo inatakiwa - siyo kuanzisha sijui tawi la Chadema, CCM, CUF. Lengo liwe ni kuunganisha watanzania nje ya nchi na si kubaguana kwa itikadi.
ReplyDeleteNashe itabidi nikutafute nikusaidie kuweka hizo pesa
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona hili tangazo mm ni mtanzania ninaishi germany nitawapataje nami nijiunge plz nahitaji hiki kitu
ReplyDeleteHongera sana.Jamani ninamtafuta rafiki yangu ambaye sijamuona miaka sasa.Watu wa ujerumani naomba msaada wenu.Winnie Mbugu ninakutafuta.Olease wasiliana nami kwa mail:muhanga333@hotmail.com.Tuliishi wote Lumumba street Dar.Niko Norway rafiki yako nilikuwa nikifanya kazi posta house na wewe Tanesco.
ReplyDeleteHao ni familia ya wanaofanya kazi ubalozini na rafiki zao. Hawawakilishi Watanzania wote wanaoishi Ujerumni. Hao wanaishi Berlin tu.
ReplyDeleteKAZI NZURI SANA. HII NDIO TUNATAKA KWA WATANZANIA TULIO NJE "UMOJA WA WATANZANIA" NA SIO WANA CCM, CUF SIJUI CHAMA CHA MAENDELEO. N.K
ReplyDeleteJOB WELL DONE
Huu ni umoja wa watanzania wa ukweli kabisa na una nia njema kabisa, Na sio wa Ubalozi wala nini, Ubalozi upo Berlin na wanachama wamekutana Frankfurt angalia Ramani hapo uone umbali ulivyo. Watu wote wapo Positive Hapa. Watanzania Ujerumani subirieni Matunda ya umoja
ReplyDeletewewe anony wa Nov.29.03:59:00PM
ReplyDeleteUsikulupuke tu na kutoa maoni pumba,na kuleta mawazo vinyu katika jambo la heri.Kwa taarifa yako huu ni umoja wa watanzania Ujerumani,unaowakilisha watanzania katika kila pembe hapa ujerumani,sio Berlin tu.Viongozi wa Umoja huu sio marafiki sio ndugu wa familia fulani au kabila fulani.
Mhe.Balozi Ngemera ametushauri watanzania lazima tuungane na kushikama na umoja ni chombo pekee cha kuleta nguvu kwa watanzania hapa ujerumani.
Sasa mwenzetu huoni umuhimu wa umoja huu.kwa kuwa mmshezoea vyama vyenu vya kuomba omba na kuchangisha misaada!
Jaribu kuwa makini na kuelemika unapotoa maoni.
Kamanda wa FFU
Ughaibuni
jamani na mimi ni mtanzania ninaishi ujerumani, Berlin. toka nifike sijakutana na Mtanzania hata mmoja, Je nitajiungaje na umoja huu. email yangu ni ninaa857@gmail.com. ahsanteni
ReplyDelete