WIKI YA USAFI WA MAZINGIRA, TANGA
Afisa Afya Mkuu wa wilaya ya Temeke Ernest Mamuya akimweleza Dr.Ibrahim Msengi, Mkuu wa wilaya ya Tanga, kuhusu hali ya usafi wa mazingira na vyoo katika wilaya hiyo katika maonyesho ya wiki ya usafi wa mazingira na usafi kwa ujumla yanayoendelea katika viwanja vya Tengamano katika manispaa ya Tanga.Katikati ni Afisa Mawasiliano wa Shirika la WaterAid Bi.Sekela Mwambuli.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...