Siku moja moja ankal anaazimaga suti na kuenda kwenye mnuso. hapa alikuwa anaelekea kwenye Red Ribbon. Kiatu kimembana na koti luzi begani...mfukoni ana ndizi kwa ajili ya ubwabwa picha na raqey wa i-view media

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. ulisahau pilipili, fisi unapata mbili

    ReplyDelete
  2. Kaka mambo yako makubwa mpaka umekuwa kijana zaidi kweli suti za kuazima nzuri.

    ReplyDelete
  3. Hahahahahaha you are one of the kind,bro.

    ReplyDelete
  4. Mzee michuzi acha uoga na kutojiamini,suti unazo na hauzuiwi kuvaaa unaboa unapozungusha maneno. Wakati wa kampeni ulizunguka nchi nzima na mtoto wa mkuu! Kwa nini ukose suti?

    ReplyDelete
  5. My wife wako yuko wapi? Unaendaje kwenye mnuso bila my wife wako bwana?

    ReplyDelete
  6. tuwekee ile ya wewe na wifi tafadhali hapa ndo mahali pake sio kuleeeee!

    ReplyDelete
  7. ISSA PETER MICHUZI NALITOLELADecember 26, 2010

    MY BRODA AND ZE ONLY 1. MUHIDINI ISSA MICHUZI OF ECONOMY SCHOOL OF MUZUMBE OF MULOGOLO. I CANGRATULATEZ YOU 4REAL FOR ZE WHITES SUTI OF MATUMBI YOU IS THE INVESTMENT OF TANZANIA BLOGS AND MEDIA OF AFRICA, AND WE LOVE THIS EXAMPLE OF YOU. I SEE JK IS WEAR A SUIT LIKE ZIS BEFORE WE COMES TO THE USA AND UK. SO WE LOVE, AND CONTRATULATES OF KRISMAS OF ALL ZE PEOPLE IN TANZANIA AND HAPPIZ NYEW YEAR

    ReplyDelete
  8. ..jamani Michuzi najua uko Single kama mimi.
    Pleease.. naomba contact zako.

    Julieth.

    ReplyDelete
  9. kaka usitake kutuangusha bwana. suti ni zako bwana tena ni zile zilizo toka china juzi lakini cha ajabu wachina hapo walijaribu kuboresha saaana suti hizo. tena ziko poa sana. na hasikutishe mtu. kama vip waache wajigonge wao wenyewe.

    hongera sana kwa kujitoa mwenyewe na kujiwekea kasoro. sisi tunapenda sana. ila umependeza sana.

    ReplyDelete
  10. ANKAL MICHUZI, NAKUPA HONGERA NIMEKUONA KWANYE BLOG NYINGINE (NAFICHA JINA) UMEPIGA NA MKEO HAPO HAPO. DUH ACHA ANKAL HONGERA SAANA.

    ReplyDelete
  11. Mbona umejiweka mwenyewe, ubavu wako uko wapi, Aisee una mwanamke mzuri sana lakini wanaume wa kibongo msinyo na shukurani usishangae una nyumba ndogo Michuzi,Loooh!

    ReplyDelete
  12. Ankal michuzi aise MKE WAKO KUMBE NI MZURI VILE JAMANI?..MASHALLAHHHHHHHHHHH...DUH..AISE HONGERA NIMEMUONA MKEO KWENYE MITANDAO MINGINE JAPO HAPA UNATUBANIA ILA SIO MCHEZO DUH...PALE UMECHAGUA HONGERA SANA KAKA..TENA HONGERA SANAAAAAAAA...KWANINI WAMFICHA FICHA JAMANI HEBU WEKA PICHA YAKE UTUKATE VILOMO LOL..

    ReplyDelete
  13. Ungepiga na kilemba cha ze fulana hapo ungetoka kimatumbi. oh!! kumbe unaazima mi niazime ze fulana tu.

    ReplyDelete
  14. mke wa uncle na ndio first lady wa globu ya jamii ni huyu hapa http://letempya.blogspot.com/

    ReplyDelete
  15. hahhaaa Ankal umetisha, umetoka bomba nakuamini hujitupi samtaimu.
    Kazi njema mkuu.

    ReplyDelete
  16. ah ankal umetoka chicha... mie moyo wangu weeeeeeee.... lakini ankal, si wanne wanaruhusiwa? shekhe tumeambiwa thalatha, arba... eeeh nadhani wanipata. Tuwasiliane (wink)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...