akimpongeza Abdul Mohamed katika sherehe hizo
Ankal na wadau wakipozi na bwana harusi baada ya 'shaba' la nguvu.
Picha zote na Sufiani Mafoto
Picha zote na Sufiani Mafoto
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anlal Misupu umeharibu picha, the T-shirt sio pake lol!
ReplyDeleteuncle Michuzi siku nyingi sijakuona na "ze fulanaaz". Nilifikiri umeistaafisha...naona bado inaendelea na libeneke...
ReplyDeleteMdau
mzee mwinyi nampenda kwa kweli
ReplyDeleteDu ze fulanaz ni noma!!!!!
ReplyDeleteze fulanaz huwa aikosi kwenye minuso
ReplyDeleteHuyo msimamizi wa bi harusi yu singo? Anwani?
ReplyDeleteHongera Abdul kwa kumpata mwenzio katika maisha. Mungu awajalie kila baraka mnazozihitaji maishani mwenu. Lakin mbona hatujaona picha yenu ya pamoja?
ReplyDelete- DEO MUSHI
kama Msimamizi wa Bi Harusi yuko single naomba anwani yake tafadhali.
ReplyDeleteNimechoka ukapera.
(US Blogger)
Nanyie wengine nanyi M kubwa K kwa jirani
ReplyDeleteN hazikupandeni mpaka muone waliowekwa humu kweli blog hangaikeni mtafute wenywe msigeuke majeta ya baharini mnasubiri vipitavyo ndio mbake
hahahahah ano hapo juu umenichekesha sana eti m kubwa k kwa jirani hahahahaha jamani si katoa dukuduku lake kama yupo single ila kama ameolewa si basi au ndo wewe nini au mumewe? hahahah mdau wa usa anapenda cheupee cheupe hahahahhah we mdau wa usa utaweza kulipa mahari ya huyo mtoto? dhahabu na mahari juuu utaweza? ahahahah kama utweza sema mie nitakupigia cross kwa mrembo flani hivi cheupeee kama huyo nipe email yako
ReplyDelete