Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. natoa shukrani za dhati kwako faza mithupu kwa kutubandikia bei ya madafu leo.

    ReplyDelete
  2. Yani kafanya la mbolea kweli ila hao western union huko bongo basi tu, anyway mwendo mdundo. sijui niwe nampa nani hela atumie jamaa zangu, kwa hapa canada zaidi ya western union kuna panya route?? wadau canada nijibuni plse nimechoka na hii huduma ya western union, dola ikizidi buku kitambulisho mara angalia camera sijui nini dah!

    ReplyDelete
  3. Aksante kwa habari hii kwani ni muhimu sana.-Dako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...