Picha ya Marehemu Mama Mary Mwingira.
Mhehimiwa Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama Mwingira.
Mama mzazi wa Mama Mwingira,Bibi Sabina Ngahyoma akiweka shada la maua kaburini
Watoto wa kwanza wa Mama mary Mwingira Dr. Upendo Mwingira akiweka shada la maua pamoja na Mumewe Dr. Edmund Ndalama
Kaburi la Mama yetu mpendwa Mary likizungukwa na wanae baada ya mazishi
Jeneza la Mama Mwingira likizungukwa na wajukuu,wototo na ndugu wa karibu nyumbani Kunduchi tayari kwa kutoa heshima za mwisho
Baadhi ya Watoto wa marehemu na waomboloezaji wakiwa makaburini Kindondoni
Watoto wa Mama Mary Mwingira wakiwa Kanisa la Mt.Joseph kwa ibada ya Mazishi.
Wambolezaji wakiwa kanisani Mt. Joseph.




Dear all,
God saw she was getting tired,
And a cure was not to be;
So he put His arms around her,
And whispered,
"Come with me."
With tearful eyes
We watched her suffer,
And saw her fade away;
Although we loved her dearly,
We could not make her stay.
A golden heart stopped beating,
Hard working hands to rest;
God broke our hearts to prove to us,
He only takes the Best!!

Moreover, We warmly thank you all who gave us all kinds of support,care and strentgh throughout her sickness,during mourning till we rested her body at Kinondoni cemetery.

The List is extraordinary big and covers local and international people and institutions.May the great LORD bless you all and keep our mothers soul in heaven.

We will have a requim Mass on 31st December 2010 venue to be known later.You are all welcome!!!

From late Mary and John Mwingiras Children;Upendo,Josephine,Sabina,Cassian,Wilfred and Cecilia.
Mama Mary has left 6 children named above and 8 grandchildren(Gladys,GloriousMary,Edmond,Andreas,Krystalynn,Cassian,Olivia and Prince John)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa... Mulimpenda sana mama mwingira lakini Mungu kampenda zaidi..... Huyu mwingira ana udungu na mwingira mwenye kanisa pale mwenge??

    ReplyDelete
  2. Poleni Mwingiras

    ReplyDelete
  3. pole sana sabina na familia yako katika kipindi hiki kigumu.Mungu ailaze roho ya marehemu peponi amin.
    Nana

    ReplyDelete
  4. Edmund na Upendo sio ndugu au michuzi umekosea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...