Home
Unlabelled
BURIANI DOKTA REMMY ONGALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
poleni sana familia ya marehemu Dr Remmy,ndugu jamaa na marafiki...Pumzika kwa amani Remmy..amen
ReplyDeleteR.I.P Ramadhani Mtoro Ongara aka Dr.Remmy.
ReplyDeleteTunatoa pole kwa familia ya Marehem DK.Remmy Ongara,
Tumepokea taarifa ya habari ya kifo cha Dr.Remmy kwa majonzi na udhuni mkubwa.
Mwenyezi mungu mlaze maala pema peponi Dr.Remmy
Amin
wadau
Ngoma Africa band aka FFU,
OLDENBURG,GERMANY
kali ongala mbona simuoni jamani au akuwepo ?
ReplyDeletemdau paris
Kitime na kamati yako nawapongeza kwa kazi nzuri yakumuuaga mwenzenu. Mmefanya jambo la maana sana katika historia
ReplyDeletemkubwa tazama picha ya nne,ya tano na ya kumi na sita yupo Kally ila issue hapa si Kally bali ni msiba wa Dk Remmy.
ReplyDeleteRest in Peace Dk wa muziki wa dansi,watanzania ulituwakilsha sana huku ughaibuni japo hukuwa Mtanzania.
ZAUNUNU-AMSTERDAM
R.I.P Dr Remmy!
ReplyDeleteNani amekuambia Doctor hakua Mtanzania?sasa alituwakilishaje wakati sio mtanzania?doctor hakuzaliwa tanzania,ila alikua raia wa tanzania,hivyo kiswahili chepesi alikua ni mtanzania,wewe umezaliwa ukaanza kupata akili doctor yupo Tz,ni mgeni gani huyo?wewe hapo ukipewa mkoba wa ki Holand utakua mu holand,ila umezaliwa Tz, na unaweza kuiwakilisha holand ktk fani yoyote ile kama muholand,uanakaa nchi za nje lakini bado umelala!!!
ReplyDelete