Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei, akizungumza na mteja wa benki hiyo, aliyepiga simu wakati wa uzinduzi wa kituo cha huduma kwa wateja ‘Call Center’ uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiangalia kituo maalumu cha huduma kwa wateja wakati wa uzinduzi wa kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akiwa katika picha ya pamoja ya wakurugenzi na wafanyakazi wa benki hiyo baada ya uzinduzi wa kituo cha huduma kwa wateja cha benki hiyo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwakweli Kaka wangu mwenyewe; CRDB BANK nawakubali wapo kisasa zaidi kuakikisha sisi wateja tunapata huduma Bora. Bravooo! CRDB Bank

    ReplyDelete
  2. Kaka wangu kwakweli CRDB Bank wako juu. Angalia mwelekeo wao wanahakikisha wanakwenda na mabadiliko ya tekinologia kuakikisha sisi wadau tunapata huduma kwa ubora na haraka; BRAVOOOOO! CRDB BANK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...