ANKAL DAVE KUTOKA ARUSHA ANAFIKISHA UMRI WA MIAKA SITA (6) LEO TAREHE 22 DECEMBER 2010, ANAMSHUKURU MUNGU KWA KUMFIKISHA HAPO, NA PIA ANATOA SALAAM ZA HERI YA X-MAS NA MWAKA MPYA KWA WAZAZI WAKE,MDOGO WAKE MARK NA NDUGU WENGINE NA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...