KARIBU –WELCOME - KARIBU – WELCOME

Katika ibada ya kumshukuru mungu kwa mwaka 2010

MCHUNGAJI TUMAINI KALLAGHE, VIONGOZI NA WAUMINI WA IMANI MISSION CONGREGATION (LUTHERAN) - READING

WANACHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA WATU WOTE JUMAPILI TAREHE 26/12/2010 KWENYE IBADA YA KUSHEHEKEA SIKUKUU YA CHRISMASS PAMOJA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAKA WA 2010

IBADA ITAFANYIKA
St Andrews United Reformed Church
Corner of Craven Road and London Road near the Royal Berks Hospital in Reading
RG1 5BD

KUANZIA SAA 8.00 MCHANA (14.00PM)
Baada ya ibada kutakuwa na sherehe ya kufunga mwaka, unakaribishwa kujumuhika na wakristo wenzako katika kumtukuza bwana kwa mapaji yake aliyoyatoa kwa mwaka mzima wa 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...