Marehemu ELINKAILA LUTHER GELLEGE

Leo mama umetimiza miaka Ishirini na tano (25yrs) tangu ulivyotutoka tukiwa bado tunakuhitaji sana. Pengo uliloliacha halitazibika kamwe, daima tukumbuka Upendo wako,Hekima zako,na Busara zako. Unakumbukwa daima na watoto wako Temi,Sarah,Winston,Martin,Elipendo,Hertha na Salome,pia unakumbukwa na watoto wa wadogo zako,wajukuu na vitukuu zako,ndugu jamaa na marafiki.

BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bibi yangu jamani dah, yaani kama nakuona vile bibi sitasahau upendo wako kwan kipindi chote nilichobahatika kukaa na wewe pale kiomboi kisiriri nakumbuka ulinifundisha mambo mengi na haswa katika swala zima la kumcha na kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi. Amina
    Mazila

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...