
Jumuiya ya waliosoma Shule ya Msingi Mlimani (UDSM) inapenda kuwapa taarifa Wana-Mlimani wote kuwa tumeanzisha Blog yetu watotowamlimani.blogspot.com kwa ajili ya kupashana habari mbalimbali kama vile msiba, Harusi, ubatizo wa mtoto, kipaimara, kikao cha harusi etc.
Karibuni mtembelee na kutuma taarifa zozote au picha kupitia anuani hii watotowamlimani@gmail.com ili tuziweke kwenye blog kwa faida ya Wana_Mlimani wote.
Mlimani Blog
Karibuni mtembelee na kutuma taarifa zozote au picha kupitia anuani hii watotowamlimani@gmail.com
Mlimani Blog
Nafikiri hii blog itakuwa ya wakristo watupu!!
ReplyDeleteWazo zuri sana. Ushauri: mnapobandika picha basi weka na mwaka ambao mhusika alihitimu. Hilo litasaidia kuonesha mlolongo wa vizazi (generations)kama vile wa miaka ya 80, 90, 00 , nk.
ReplyDeletewe anon acha fikra potofu, umeona kwenye tangazo hapo juu mtu yeyote amemention chochote kuhusu DINI? kama huna la kuandika, kaa kimya..
ReplyDeleteidea nzuri sana ya hiyo blog ni njia nzuri ya kuwakutanisha wana Mlimani nakujua nini kinachoendelea katika life zao, mfano graduation,msiba,harusi etc
Hongera wahusika wote.
Hongera pia sana kwa reunion party mliyofanya..
Sihawahi kuona watu wenye mawazo finyu duniani namna hii. Kwa kuwa wameandika kipaimara, ubatizo na harusi basi mtu anakurupuka na kuandika 'Nafikiri hii blog itakuwa ya Wakristo tupu'. Ama kweli uliyeandika hilo umefilisika kimawazo.Kwani hujaona wamesema kuwa wataipasha jamii habari mbalimbali; ZIKIWEMO...... Kuwa kimawozo wewe anonymous wa 02:12:00. Pole,una akili FINYU mno
ReplyDeleteMpenda maendeleo
Ni jambo zuri sana kukumbukana na kuwa pamoja kama hao wa mlimani. natafuta kujua kama kuna jumiya ya waliosoma 'Shycom". Jamani nijulisheni, kuna kipindi nilisikia Dar ipo lakini sijapata contacts zake. Sisi tulio bara tumebaki nyuma kidogo, tutajiunga na wa Dar kama umoja huo unaruhusu.
ReplyDelete