Mkuu wa chuo cha polisi CCP cha mjini Moshi Afande Matanga Mbushi akipozi baada ya kula non dozzz wakati wa mahafali ya tano ya chuo kikuu cha ushirika na stadi za biashara,MUCCOBS. kushoto kwake ni Mwalimu wa Weru Weru Sekondari ,Mwalimu Josta .
Mdau Josta (shoto) baada ya kulamba Nondozzz Chuo kikuu cha ushirika na stadi za biashara Muccobz.Kulia kwake ni Lecturer wa chuo hicho George Germinus maarufu kama Sizya.
Wadau wakitembea kwa mbwembwe mara baada ya kulamba Nondoz .Hii ni katika mahafali ya tano ya chuo kikuu cha ushirika stadi za biashara MuccoBs.

Mdau Germinus kata simu basi tupige picha... Mgogo nini!!
ReplyDeletewapi komba, wapi machimu, wapi kumburu,wapi msaki, wapi beeeeeeeeeee
ReplyDelete