Home
Unlabelled
mali mpya kwa ajili ya Krismas duka la virago
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waosha vinywa Mhe. Waziri Nyalandu anawaambia muache kuosha vinywa mara moja kwenye Michuzi
ReplyDelete"Nyalandu: Watanzania wa nje walalamikaji “Watanzania waache kulalamika tu kwenye mablog. Wengi wamekuwa walalamikaji tu, lakini hawachukui hatua,” alisema Nyalandu.
Naibu wazkiri huyo aliwataka Watanzania hao, watumie muda wa kukaa kwenye mitandao, kuangalia taarifa zinazohusu fursa za uwekezaji zinazopatikana pia hata kwenye mtandao wa Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania na kusaidia shughuli za uwekezaji hapa nchini.
Hii safi sana: Watanzania wa nje wawekeze nchini Tanzania; Watanzania wa nchini wasafirishe mamilioni kwenda nchi za nje!
ReplyDeleteGavana wa BoT Balali (marehemu) aliwahi kutamka kuwa pesa za Watanzania zilizoko nchi za nje ni nyingi uliko zilizowekwa katika mabenki nchini Tanzania!
Picha ya pili toka chini hizo gauni ching ching ....Love them...
ReplyDeleteHiyo ya waziri mhhhh..yeye muda wa kuperezua hizo malalamiko anaupata wapi? Critical criticism ni nzuri kwa nchi amabyo bado inakua...mtoto umleavyo ndiovyo akuavyo...yes sir yes sir all the times sio good...yeye akiwa anasoma hizo comments ni glass half all time nini? Kuna mambo mengi ya maana watu wanalalamika sio yote ni kuosha vinywa