Ambapo kesho yake yaani tarehe 01/01/2011 MARAFIKI WA TANGA watatembelea MAPANGO YA AMBONI pamoja na MAGOFU YA TONGONI. Ada ni 50,000/= (Elfu Hamsini tu) hii ikiwa ni pamoja na chakula na vinywaji usiku wa MWAKA MPYA. Je wewe ni mtanga, una asili ya TANGA na unaishi Dar..!!??
Basi Njoo upange na ukutane na MARAFIKI WENZAKO KUTOKA TANGA ili mfunge mwaka pamoja. Kwa maelezo zaidi wasiliana (0767000000 au 0719000010)
Mohammed Hammie Rajab
Production ManagerANKO MO BLOGSPOT
Tanga, Tanzania
E-mail: ankomo25@yahoo.comE-mail: ankomo25@gmail.com
Phone: +255719000010 +255789092533
Blog: http://www.ankomo.blogspot.com
Safi sana Wagosi bahati Mbaya mwaka huu sirudi Bongo lakini tupo Pamoja ktk Fb hapy xmas & new year
ReplyDelete