
Msanii wa Kikundi cha Sanaa cha Towero cha Manispaa ya Morogoro , Rajab Athuman ‘ Roja’ akionyesha umahiri wa kucheza na nyoka aina ya chatu , wakati wa onesho ya wasanii wa Kikundi hicho , siku ya Mahafali ya 17 ya wahitimu wa Ualimu wa Ufundi Stadi , ngazi ya Stashahada na Cheti katika Chuo cha Mafunzo ya Ualimu VETA Morogoro na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulungo, mjini Morogoro.

hahahaaa wenzake huwa wanawatoa meno kabla ya kuwachezea!!!!
ReplyDeleteMkome kuchezea majoka, usipoangalia mkono utakatwa huo
ReplyDelete