(30.1.1934 - 5.12.1999)
Leo ni miaka kumi na moja tangu ulipoamua kuongoza msafara wa kwenda kwa Mwenyezi Mungu.
Japo ulituacha na majonzi makubwa tarehe 5.12.1999 siku ambayo hatutaisahau,tulijua kuwa uko salama katika mikono ya Bwana wetu wa Mbinguni.
Unakumbukwa sana na watoto wako : Conrad Mtui,Deogratius Mtui,Francis Mtui,Edward Mtui,Grace Mtui,Hellen Mtui,Peter Mtui na Charles Mtui
pamoja na Wajukuu,Ndugu na Jamaa wote.
Mungu aendelee kukulaza mahali pema peponi. AMEN

Mungu azidi kuwafariji na kuwatia nguvu!
ReplyDeleteje kuna yoyote mwenye habari za franko?? anaendeleaje na matibabu kasharudi nyumbani? tafadhali leta habari
ReplyDeleteR.I.P Uncle Tuheri, Sisi tulikupenda ila Mungu amekupenda Zaidi!
ReplyDeleteRest in peace baba Mtui.
ReplyDelete