Home
Unlabelled
mji wa moshi ulivyo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante saana mdau uliyetuma hizi taswiraz kweli kwetu pasafi ajabu pamoja na pilika zoote za sikukuuu mji unang'aa kwa usafi hadi raha na una vutia saaana.... hapo watu wamesepa wamekwenda mlimani kuhesabiwa si utani christmas na wanafamilia inanoga kweli kweli, heri ya christmas wachaga woote na wadau wote wa misupuz blog
ReplyDeletemdau manka ottawa
kaka mithupu pole na kazi na nakutakia christmas njema, ombi lang ni kukuomba wewe pamoja na wadau wote wa blog ya jamii kama mnaweza kupost picha mbalimbali za tanzania katika skyscrapercity, pia kuna thread la dar arusha mwanza, dodoma na zanzibar, katika utalii pia unaweza kutuhabarisha na chochote kinachoendelea huko kwetu, picha za utalii please dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392
ReplyDeletena vikanguaanga vya dar dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948
Tanzania Infrastructures development & Discussion dumbukiza hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1139953, pia nilikua nauliza hivi libeneke la taswira limekufa? au kunani? kaka michuzi pia nilikua nakuomba kama unaweza kutupatia picha ya dar usiku ukiwa jengo la mwalimu pale ilala kuelekea CBD (MAENEO YA POSTA), karibuni skyscrapercity tanzania
Home sweet home...duh...thanks Michuzi....
ReplyDeleteDuu, Yaani hawa wachagga wana hama mjini kabisaa... wote wana kimbilia mlimani!! ndio maana hakuna snow mlimani kilimanjaro kwa sababu wana haribu mazigira. Ninge shauri serekali iwanyime wa chagga kutokwenda kwao kwa muda wa miaka miwili. Nadhani itasaidia saana kurudisha snow kwenye mlima na mazigira kurudia hali yake ya kawaida.
ReplyDeleteWACHAGA WAMEFULIA SIKUIZI!
ReplyDeleteMDAU PARIS
HAHAHAH WACHAGA MICHUZI WAMEFULIA HAKO NDIO ONLY KASEHEMU KAZURI AMBAKO MENGI BONITE BOTTLE WALIKASPONSER KWENYE HICHO KIMNARA NENDA SEHEMU NYINGINE UTAKIMBIA BORA KIGOMA HIKI KIMKOA, KIMECHOKA KINOMA SASA HIVI SI UNAJUA TENA WACHAGA SASA HIVI HAWAPO WENGI KWENYE MADARAKA NA KUJIPENDELEA MIHELA YA SELIKALI KUJENGA KWAO TU, SIRIASI JAMANI HUU MKOA SASA HIVI HAUWEZI KUUFANANISHA HATA KIDOGO NA MBEYA, MWANZA BORA HATA ARUSHA, DODOMA NAYO DIO HIO INAZIDI KUWA BOMBA, MOSHI INAENDANA NA MTWARA MAY BE NA LINDI
ReplyDeleteHuyo mpiga picha amechukua kisehemu hicho kisichokuwa na watu. Watu wako kobao.
ReplyDeleteKwanza siku hizi si wachagga wengi tunaenda kuhesabiwa, labda familia ambazo bado zina upendo.
Kama mchagga unajiweza kifedha , wakati wenzio kwenye familia hawana uwezo, haki ya nani mkikutatana huko mlimani hutarudi ulikotokea. Wachagga tunaogopa hilo. Siku hizi kuuana kwa ndumba ni nje nje. Mtacheka mtafurahi lakini rohoni mdogo wako, kaka au dada ana lake jambo.
Hata mama mzazi anaweza kukufanya mbaya kama anaona labda baada ya kuoa matumizi kwake umepunguza.
Hicho ndio tunaogopa huko uchaggani
I really admire the cleanliness in Moshi, i hope Madiwani wetu wanaiona hiyo na wataichukua kama changamoto katika miji mingine! BIG UP MOSHI PEOPLE.
ReplyDeleteAnaesema bora kigoma au lindi kuliko moshi ni muongo na ana wivu nani asiejua mji wote wa moshi ni msafi na watu hawatupi taka onyo, onyesha na kwenu basi tupaone ila ujue ukubali ukatae wachagga tupo juuuuu....
ReplyDelete