Home
Unlabelled
RED RIBBON CHARITY GALA 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani watu wanaogopa video camera ile mbaya, mara wajichekeshe bila sababu mara waangalie pembeni wengine wanajidai wako busy na mobile, kwani mmeambiwa camera inang'ata? si mtu anachukua picha achia tabasamu paana au relax tuu simple sio watu wanajibana wanaomba mchukua picha aende haraka huku mioyo inawadunda lo kazi kweli kweli.... hiyo kitu haing'ati sawa eeh?
ReplyDeleteCamera ingetakiwa kuwa kwenye fashion show sio watu!! Watu hawaelewi kuwa cha maana hapo ilikuwa fashion sio sura za watu!!
ReplyDeleteCameramen anahitaji mafunzo zaidi ya kujua kazi yake!
ReplyDelete