JK leo amewaapisha makatibu tawala wapya wa mikoa sita katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Makatibu Tawala hao wapya walioapa leo mbele ya Rais ni pamoja na Bi.Evelyne Philbert Itanisa wa mkoa wa Arusha, Benedict Ole Kuyan wa Mkoa wa Tanga,Mgeni Sufiani Baruani wa Mkoa wa Morogoro na Liana Ayoub Hassan wa Singida.Wengine ni Nassor Mohamed Mnambila wa Kagera na Kudra Juma Mwinyimvua wa Tabora. Pichani juu ni Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Arusha Bi.Evelyne Philbert Itanisa akila kiapo
JK akimwapisha Ndugu Benedict Ole Kuyan kuwa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Ikulu jijini Dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Vazi la taifa liko wapi?

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka Ole Kuyan Mungu akutangulie katika kazi yako mpya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...