Sehemu ya mabaki ya mabari yaliyokuwa yameezekwa katika baadhi ya vibanda vya soko kuu la Uhindini jijini Mbeya yakiwa yamezagaa chini mara baada ya kutokea kwa ajali ya moto sokoni hapo.

kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inasikitisha kuhsuhudia matukio kadha wa kadha ya moto Mkoani mbeya,hii inatoa fundisho kwa halmashauri zetu na jiji ili kuhakikisha masokko oyetu yanajengwa kisasa kwa kuwa hali ya mbanano kama iliyokuwapo mbeya inafanya hata uzimaji wa moto uwe mgumu. pole kwa wote na hasa wakinga waliolaza pesa ndani ya maduka na vibabbnda.

    ReplyDelete
  2. Masoko ya siku hizi yana tofauti na ya kikoloni. Masoko ni machafu na mabanda kedekede utafikiri uongozi haupo wa kuhmizaz usafi. watu wa faya tutawaonea kila siku, njia zinakuwa hazipo vilevile na material za kujengea kila mtu analeta za kwake kuanzia magazeti ,nailoni mpaka nyasi sasa moto kwa nini usile mabanda? nadhani tujifunze na sasa turekebishe soko la sido kwa kuwa nalo si salama.

    ReplyDelete
  3. ulaya mkurugenzi anajiuzulu BONGO je? au unasubiria ukuu wa Mkoa?

    ReplyDelete
  4. Mhe Sugu, Kazi kwako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...