Mchezaji wa timu ya Ethiopia,Omod Okwury (11) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Kenya wakati wa mechi ya mashindano ya Tusker Challenge Cup (CECAFA) yanayoendelea kufanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar.Ethiaopia iliibuka na ushindi mnono wa magoli 2-1 dhidi ya Kenya.
Kiungo wa Timu ya Kenya,Anthony Kimani akichuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Ethiopia,Yonatan Berhene katika mchezo uliopigwa leo ndani ya Uwanja wa Taifa,jijini Dar.hadi mwisho wa mchezo matokeo yalikuwa ni Ethiopia 2-1 Kenya.
Mshambuliani wa Ethiopia,Yonatan Berhene akimtoka golikipa wa Kenya,Bonface Oluoch na kukosa kosa kupachika bao la tatu katika mchezo.
Benchi la Ufundi la Timu ya watani wetu wa Jadi likiwa limegubikwa na simanzi wakati wa mchezo wao dhidi ya Ethiopia leo na kukubali kichapo cha bila huruma cha mabao 2-1.
Wadau wakifuatilia gemu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...