Ankal Sufiano Mafoto akimpongeza Bwana harusi Abdul Mohamed baada ya kumeremeta ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar. Abdul alikuwa mhariri wa michezo wa gazeti la Dimba na katibu mkuu wa chama cha waandishi wa habari aliyemaliza muda wake. Hivi sasa yuko Uganda akisaka nondozzzz Bi Harusi Mulhat Seif akiwa na msimamizi wake, Lutfiya Hamid
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi,
akimpongeza Abdul Mohamed katika sherehe hizo
Ankal na wadau wakipozi na bwana harusi baada ya 'shaba' la nguvu.
Picha zote na Sufiani Mafoto




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Anlal Misupu umeharibu picha, the T-shirt sio pake lol!

    ReplyDelete
  2. uncle Michuzi siku nyingi sijakuona na "ze fulanaaz". Nilifikiri umeistaafisha...naona bado inaendelea na libeneke...

    Mdau

    ReplyDelete
  3. mzee mwinyi nampenda kwa kweli

    ReplyDelete
  4. Du ze fulanaz ni noma!!!!!

    ReplyDelete
  5. ze fulanaz huwa aikosi kwenye minuso

    ReplyDelete
  6. Huyo msimamizi wa bi harusi yu singo? Anwani?

    ReplyDelete
  7. Hongera Abdul kwa kumpata mwenzio katika maisha. Mungu awajalie kila baraka mnazozihitaji maishani mwenu. Lakin mbona hatujaona picha yenu ya pamoja?
    - DEO MUSHI

    ReplyDelete
  8. kama Msimamizi wa Bi Harusi yuko single naomba anwani yake tafadhali.

    Nimechoka ukapera.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. Nanyie wengine nanyi M kubwa K kwa jirani

    N hazikupandeni mpaka muone waliowekwa humu kweli blog hangaikeni mtafute wenywe msigeuke majeta ya baharini mnasubiri vipitavyo ndio mbake

    ReplyDelete
  10. hahahahah ano hapo juu umenichekesha sana eti m kubwa k kwa jirani hahahahaha jamani si katoa dukuduku lake kama yupo single ila kama ameolewa si basi au ndo wewe nini au mumewe? hahahah mdau wa usa anapenda cheupee cheupe hahahahhah we mdau wa usa utaweza kulipa mahari ya huyo mtoto? dhahabu na mahari juuu utaweza? ahahahah kama utweza sema mie nitakupigia cross kwa mrembo flani hivi cheupeee kama huyo nipe email yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...