BENKI KUU YA TANZANIA LEO MCHANA INATARAJIWA KUTANGAZA NOTI MPYA, IKIWA NI MIAKA SABA TOKA ILIPOFANYA HIVYO MWAKA 2003, KWA MUJIBU WA GAZETI LA SERIALI LA DAILY NEWS.

SABABU YA KULETWA KWA NOTI HIZO MPYA ZITAJULIKANA WAKATI GAVANA WA BENKI HIYO, PROFESA BENNO NDULLU, ATAPOKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI. GLOBU YA JAMII ITAKUWEPO NA KUWAPASHA BAADAE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hemed KagobeDecember 17, 2010

    HUU ULIKUWA MUDA MZURI SANA WA KUPANDISHA THAMANI YA PESA YETU(MONEY REFORM). KWA KUPUNGUZA ZEROS KWENYE CURRENCY (DENOMINATION) KAMA WALIVYOFANYA WENZETU WA GHANA. ILI TUEPUKANE NA HII MAMBO YA DOLA 1 = SH1400, MIMI NAFIKIRI KUBADILISHA TU PESA WITH THE SAME VALUE, IS NOT HEALTH N NOT PRODUCTIVE. INATAKIWA TUPUNGUZE SIFURI 2 ILI KUFANYA PESA YETU IWE NA THAMANI AND MORE COMPETITIVE KATIKA CURRENCY MARKET.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...