

MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo ndio tz ya sasa sio mnaponda tu, mambo mazuri msifie pia, safi sana tz hotel nzuri zaidi ya ulaya.
ReplyDeletekaka michuzi hongera kwa libeneke, mimi ni mdau mkuu wa hapa napenda kuangalia mambo yako ni bomba, kuna libeneke lingine huku skyscrapercity.com, tupo na mzee tanzan katika libeneke la kupost projects mbali mbali za dar na tanzania kwa ujumla, nigefurahi kama nawe ungejiunga ili tuwe pamoja na kuapata mambo kibao ya bongo, ntafurahi kama nawe na wadau wengine wote watakua humu ndani http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=23, pia unaweza kuandika dar es salaam skyscrapercity kwenye google na utaona mambo mbalimbali, asante nakutakia maandalizi mema ya siku kuu
ReplyDelete