Kuna manung'uniko ya chini kwa chini na mashaka makubwa kuhusu kile kinachodaiwa kupandikizwa kwa VIJEBA katika timu hizi za Kagera Sugar (chini) na Ruvu JKT (juu) za vijana chini ya miaka 20 wanaoshiriki Kombe la Uhai katika Uwanja wa kumbukumbu ya Karume Dar es salaam. Waandaaji wa michuano hii kwa kushirikiana na TFF wameahidi kuchunguza kama kuna ukweli katika hilo
Home
Unlabelled
ruvu JKT na Kagera Sugar wana vijeba katika U-20 zao?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Aliye na umri wa kweli ni ambaye hajapata matatizo ya kusaka fedha maishani mwake.
ReplyDeleteWengi wetu hubadili umri ili kukidhi matakwa ya ajira (polisi, jeshi, magereza, vyuo, michezo, n.k.)
Kila mtu ana njaa, mezeni sindano.
Mmh...vijana wetu wanakomaa upesi sana kwenye michezo
ReplyDeleteDuh, ebwana eeeh !! Anko Michu hao wachini haihitaji hata uchunguzi, yaani wengi wao wamekomaa there is no way wakawa under 20. We mcheki huyo jamaa wa pili toka kushoto walioinama, yaani atakuwa anaaproach 30 !
ReplyDeleteHuyo team kapteni wa Kagera huo mvimbo wa kwenye bukta unaonyesha kabisa umri umeenda !! !
ReplyDeleteBwawa la maini limekuwa dimbwi la gallbladder.LOL.
ReplyDelete