Kuna manung'uniko ya chini kwa chini na mashaka makubwa kuhusu kile kinachodaiwa kupandikizwa kwa VIJEBA katika timu hizi za Kagera Sugar (chini) na Ruvu JKT (juu) za vijana chini ya miaka 20 wanaoshiriki Kombe la Uhai katika Uwanja wa kumbukumbu ya Karume Dar es salaam. Waandaaji wa michuano hii kwa kushirikiana na TFF wameahidi kuchunguza kama kuna ukweli katika hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Aliye na umri wa kweli ni ambaye hajapata matatizo ya kusaka fedha maishani mwake.

    Wengi wetu hubadili umri ili kukidhi matakwa ya ajira (polisi, jeshi, magereza, vyuo, michezo, n.k.)

    Kila mtu ana njaa, mezeni sindano.

    ReplyDelete
  2. Mmh...vijana wetu wanakomaa upesi sana kwenye michezo

    ReplyDelete
  3. Duh, ebwana eeeh !! Anko Michu hao wachini haihitaji hata uchunguzi, yaani wengi wao wamekomaa there is no way wakawa under 20. We mcheki huyo jamaa wa pili toka kushoto walioinama, yaani atakuwa anaaproach 30 !

    ReplyDelete
  4. Huyo team kapteni wa Kagera huo mvimbo wa kwenye bukta unaonyesha kabisa umri umeenda !! !

    ReplyDelete
  5. Bwawa la maini limekuwa dimbwi la gallbladder.LOL.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...