
Anko Issa Pole na Kazi za kujenga taifa.
Naomba Uniwekee hizi Picha kwenye Blog yetu ya Jamii .
Mtoto wangu Sabra Msemo leo amefanya mahafali ya kumaliza Chekechea ya Shaloom Iliyopo Keko Juu Sas Tayari kwa kuanza Darasa la kwanza hapo Mwakani.Familia Nzima tunampokenza sana Sabra.Tunamuombe kwa mungu afanikiwe katika maisha yake.

Hapo akipokea zawadi ya Usafi katika shule nzima

Hapo wakimsikiliza mkuu wa shule huku akipongezwa na mdogo wake.

akilishwa keki na best wake

Akililisha keki mwalimu wake
I am a Tanzanian who lives abroad. I am glad for that. because here things are so simple. Thanks God. Tanzanians are making things very complecated. Why do you celebrate just for a child to finish kindergaten. At the same time people are complaining about life. I realy don't understand.
ReplyDeleteHa ha ,iam suprised to read that the child has finished the exams,then graduation.Is there exams in nursery??
ReplyDeleteI studied nursery school for three years about 23 years ago,we used to do exercises for maths,english and swahili.But i never had a graduation at end of my nursery.I think this should not be entertained,wastage of time and money.
On my opinion standard seven 'LY' should have a graduation but not a nursery kid
wastage of time and money. what are they gonna do when they finnish university
ReplyDeleteWatz kwa vivu; ya abroad yaache abroad. Hoengereni saana wazazi, si lazima kusubiri mtoto agraduate ati ndo urecognize her success. One step at a time. She looks tunning and very smart. Wishing her bright future and more success. Hongereni mwaya achana na wanafiki maana wapo mengi tu.
ReplyDeleteits about time serikali ikataze haya mavazi kuvaliwa na kindergaten children..
ReplyDeletepia serikali ikomeshe hii tabia ya mashule kulipisha wazazi hela ambazo zingefanyia kazi nyingine kwa ajili ya graduation.wazazi wengi wanakosa hela za kununua mlo wa siku,sasa hizi za graduation zitatoka wapi?
wizara ya elimu angalieni hili suala tafadhali.
Annony wa 03:56, 04:33, na 05:07, acheni majungu jamani.
ReplyDeletekwanza kabisa we uliye "abroad" hongera sana ila kwa taarifa yako sisi tuko Tanzania, leave us to do things our own way, halafu wakati uko huko learn to spell the word "complicated"
na wewe ambaye hukufanya mitihani chekechea, usiwe na roho mbaya, nyie ndo ambao mna watreat watoto wenu exactly as you were treated, its a free world, kwa taarifa yako naweza zaa mtoto nikamfanyia graduation...enjoy life my friend its too short.
Haya we uliyesema its a wastage of money, umeingalia article vizuri, hebu rudi juu ukaiangalie tena, wako shuleni sio ukumbini. wanalipa ada so mwalim kawashonea majoho, hata pale makumbusho unaweza shonewa moja la mtoto kwa 5000. mama wa watu kanunua keki tena hiyo ni kama ya kwa bakhresa ya 10000 na taji. keki yenyewe imewekwa kwenye stuli, huyu mama amejikuna mkono wake unapoweza kufikia...
sasa niambie wewe ukienda kunywa "beer" unalipa shillingi ngapi? au hizo starehe zako zinakughalimu shillingi ngapi? sasa mwenzio kaiweka hiyo 15000 kama investiment kwa mtoto wake ambaye akiingia shule ya msingi atasoma kwa bidii.
Naomba msicrush vitu humble kama hivi, there is no extravagance in this event...pelekeni huko ujuaji wenu...
Big Up!! Mdau hapo juu!! I completely support your comments all the way. It's the little things that matter in life and it goes a long way. Even if they have a full party at home. It will be like a get-together, ndugu majirani wanakutana wanabadilishana mawazo and just enjoying life. Those are the things watu huko Ulaya wanashidwa kuelewa. I've been there and I know.
ReplyDeleteJamani binadamu nyie hee kuwa abroad ndo nin?na unafanya nini kama unasoma fani zooote sasa hvi zipo bongo utakuta mtu anakopa pesa tena nyingi kisa akasome ulaya ukiangalia hapa zipo pia hakuna mtu anayekuuliza kwa kuwa uamuzi ni wako na pesa ni yako,jamani sherehe kama ile ni ya jumuiya kitambaa cha joho cha bei poa ungesema suala la joho liangaliwe nani avae na nani asivae hilo ndo suala lingine ,kuna mtu mmoja akanichekesha akasema sasa wewe mawazo yako kale katoto utasema kamemaliza degree hata ukikaangalia jibu ni hapana na ile shule utakuta wale ndo wanamaliza pale wanaenda shule ya msingi.haya kama hukufanya mtihani wewe huko nyuma pole ni mabadiliko tu hata mie nilifanya mtihani wa darasa la nne na wengine leo hawafanyi,pia kuna watu walisoma darasa la nane leo hii hakuna vile vitu kwa mtoto vidogo saaana uchumi wa tanzania wapo wanaoutafuna na sio walala hoi pale uwezo wake umefika tena utakuta kwa miaka mingi
ReplyDeleteMmh! Mtu wa Ulaya hamna kitu ... si ndio kina Tuntu hao na tangazo la Zantel. Sisi tupo BONGO na shida zetu lakini maisha raha kwa kwenda mbele - ukikosa unalala, ukipata unajirusha. Big Up mtoto ... this will make her work harder and harder ....
ReplyDelete