ankal Issa Muhidin Michuzi
napenda kutuma sharamu ya rambirambi ya mwaka 2011 kwa wandugu zangu wa tanzania kwa kupita mwaka yote kwa amani ya bwana. hata shishi pia mungu anatushaidia na tunapita mabaraa yote mubaya ya hizo mwaka ambao umepita. napenda pia kupongesha wangudu wote sote wa tz, kwa kufanya uchaguzi muzuri san na wenye faraka na amani kwa afrika ya mashariki wote
hakuna amereta ghasia au mang'aa kwa uchaguzi wenyu, na hata hakuna mukora waliongizishana kwenye mabo yenyu. shida yetu ssisi sote ni hii ya wahizi wa pesa ya serekari ambayo inasumbua afrika wa mashariki wote. sasa kwa sisi wakenya tutaperekeshana nao mang'aa hata mpaka mahakama ya ICC na mawaziri wote wanajiuru kuhachia uchanguzi wa uhuru

sasa tunakwenda kwa mwaka mupya kwa amani na farakana, na tunamuomba mwenyezhi mungu apeane watu wetu wote na hata marais yetu ya Kikweta, Museveni na Kibaki na Raira Odinga kuongoza iinchi zhetu kwa amani hadi uchaguzi ya Kenya pia ufike hapa 2012. kwa wandungu na mabwana, ashanteni shana na tusidi kukaakaa na kuombeana kwa amani kama jirani muzuri kabisa sana. sasa poreni sana kwa kukosa sitima kwa mwaka muzima, tunaombeana kwa mungu nyinyi pia mupate sitima ya kutosheana kwa mwaka wote unaokuja. mutuombee viongozi yetu wengine wanapereshwa na Mureno Ocampo wa The Hague, sasa kwa wale ambao ni wahizi, tunaseema shauri ya, shauri yao
asante sana

Mujomba Paulo Kamau
Nakuru Kenya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jamni Anko, hii ni rambirambi tena

    ReplyDelete
  2. We Kamua wewee, wacha hiyo mambo yako wewe unakuwa na kiswahili murefuuu! Njoo nikubaie kamkebe kamo, kamoja vyenyewe vile navokuona uko unakaa kama vile unagonjweka!Wacha kulalamika juu ya stima.

    ReplyDelete
  3. Ankal, acha hizo hata mutu ya kissii haiwezi andika hivo! Ati wewe wajifanya Kamau? AAhhhh, baTZ angalieni huyu ankal. Ataka aanze zile discussions tu.
    Regards,
    Githii.

    ReplyDelete
  4. SAFI SANA mJOMBA kAMAU TUMEKUPATA SANA.

    I REALLY LOVE YOUR SPIRIT BROTHER!

    TUNASUBIRI WEZI WA MALI YA UMMA WAPELEKWE MIKONONI MWA OCAMPO!

    NAKUTAKIA MWAKA MPYA MUZURI SANA WEWE NA NDUGU ZETU WENGINE!

    Mungu Ibariki Africa ya Mashariki na watu wake wote.

    ReplyDelete
  5. Hiki ndicho kweli kiswahili cha watani zetu au kaamua kuchekesha??

    ReplyDelete
  6. Mambo vp kaka Mithupu,
    nafikiri nilishawahi kusoma article fulani ya huyu jamaa na Kiswahili chake hakikuwa vibaya hivi, kuna mtu ameamua tu kutumia jina lake na kutuma sidhani kama ni yeye.

    nkya
    a - city

    ReplyDelete
  7. HUYU SI MKENYA, NI MTU KAJARIBU KUKIPINDA KISWAHILI ILI AONEKANE NI MKENYA.PERIOD!

    ReplyDelete
  8. Ahsante Mujomba Kamau. Kweli tunahitaji rambirambi, maana mafisadi wanatutafuna sio kidogo. Nawe Mujomba tunakutakia rambirambi ya mwaka mupya!

    ReplyDelete
  9. mbavu kwishney!!!!

    ReplyDelete
  10. Hivi wewe mjomba Paulo Kamau unajua maana ya salamu za rambirambi wewe?

    Haya bwana Kamau ,ninyi wakenya mnapenda sana uzungu na ndio maana hamtaki kujifunza kiswahili fasaha

    ReplyDelete
  11. Mhhhhhh....!! huyu ni kamau feki umezidisha kuandika ofyoofyo hata hainogi.....

    ReplyDelete
  12. mhhh mume wangu mkenya kasoma hii kasema sio mkenya kaandika hii...Good try through

    ReplyDelete
  13. huyu sio mKeii!

    Bali anajaribu kuigiza kama wao, hata hivo inaburudisha sana , ni kama mchezo wa maigizo ulivo mfn Dokii.

    Iwe kweli au la, cha msingi umenifurahisha.

    Kwa upande mwingine we Kamau huna mpango kaa kushoto, usilete za kuleta, Ocampo ndio kiboko yenu, na tunajua mnamendea ardhi ta Tzee, ole wenu mlete pua kwenye sera zetu za adrhi. Tutawatoa kwa speed zote.

    Naona nyie mna viongozi wawili Kibaki na Odinga , sijui nani mwenye leseni ya udereva kati yao? kwanini msiwe kama sisi JK, na Ug ni YM

    Mungu ibariki EA

    ReplyDelete
  14. JAMANI SALAMU ZA MWAKA MPYA ZIMEKUA RAMBIRAMBI?WATANI WA JADI MNATUANGUSHA. KISWAHILI NI KITAMU UKIKIJUA, NA KWA KWELI NAJISIKI RAHA KUSEMA NINAZUNGUMZA KISWAHILI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...