Mshindi wa Big Brother Africa 4 Kevin akishukuru kwa kuwa mgeni wa kwanza katika Angella Bondo Talk show iliyoanza kurekodiwa usiku huu katika ukumbi wa Serengeti wa hoteli ya Paradise City iliyomo katika ghorofa ya pili ya jengo la Benjamin Mkapa Towers jijini Dar. Kulia ni Angella Bondo mwenyewe, wa tatu toka kulia ni Elizabeth Gupta na wengine ni dada zake Kevi aliokuja nao toka Nigeria kuhudhuria harusi yake na Elizabeth
Angella Bondo akiendesha talk show yake
kwa mahojiano na wapenzi Kevina na Elizabeth

Ukumbi ulifurika wageni waalikwa toka sehemu mbalimbali
Kabla ya kwenda kwenye uzinduzi wa albamu yake Club Billicanas TID alipita Paradise City hotel kutoa burudani katika Angella Bondo Talk Show
dada zake Kevin wakifurahia show hiyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. first to comment, mawifi nimewapenda, duu yuko bomba ile mbaya sijui wote wameolewa.

    Eliza mdomo mama kafunge hao wakikuchangia si wanakutoa utumbo? hahaha, jokes

    ReplyDelete
  2. ndio nini??? bongo kwa kuiga !!OPRAH show hio ???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...