By Pretty Poet
A BIG Congratulations to Sporah Njau of The Sporah Show on graduating and achieving a degree in International Business Management from London Metropolitan University. Respect where it's due for any woman who can hold down a career, and also go to school and Sporah has been doing exactly that. I love it when I see sisters going after their dreams and doing it all. It doesn't mean it's easy, but when you succeed, it's all the more sweet. For more photos CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Congratulations Girl...go get em.

    Soames,
    Reading.

    ReplyDelete
  2. Hongera saaaaaaaaaaaaaaaana spora, God bless you mwanamke wa shoka!

    ReplyDelete
  3. Du huyu mtoto noma, minatafuta mke jamani Ankal inakuaje hapa?

    ReplyDelete
  4. Mnaosemaga wakina dada wanaoishi ughaibuni bla bla.. Here we go sasa Sporah amewaprov wrong. Hongera sana Sporahna Mungu akuzidishie, tunataka kumuona ma PHD
    mama hivo kaza mwendo.

    ReplyDelete
  5. Sporaaaaaaaaaa, Ze one and only Sporaaaaa
    Hongera sana sister yaani this is exactly we need to see from young women like you. Keep it up sister.

    ReplyDelete
  6. Sporah i just wish to meet you oneday, You're such an inspirational, an example to young Tanzanians if not young African Women as whole. Congrats on your degree and Good luck to all that your doing. Karibu sana Tanzania.

    ReplyDelete
  7. Mdau- FranceDecember 01, 2010

    Ha ha ha.. anonymous hapo juu umeniacha hoi..
    SPORAH GO GET EM!!!!
    Uko juu Sporah, STAR TV wajanja kukuchukua I hope wanakulipa inavotakiwa maana DADA YOU ARE A REAL DEAL, REAL STAR.
    What you have could pass years without having a girl like you in Tanzania, Sasa ningeomba Vigongo plus serikali kukutumia ili ukawasaidia kina dada kule vijijini Tanzania wanaoamini MWANAMKE UKIWA MZURI HUNA AJA YAKWENDA SHULE.
    Sporah go and help plse, this is a big problem right now in Tanzania, all young besutiful girls wanataka kuwa mamiss, mamodel etc, hawataki shule, iNASIKITISHA.
    Plse tumia u-STAR wako kwenda kuelimisha jamii yetu unaweza kusave at least 10 young girls life so they wont end up on street. Sporah its terrible out there.. . OKAY .. GO EN GET EM PLSE.
    Mdau France

    ReplyDelete
  8. Hongera sporah, nimependa sana gauni, nywele, viatu, pochi, Kwaklweli wewe ni Nyota yetu.
    Keep on Representing Sister.

    ReplyDelete
  9. This is what I call BEAUTY, I can now revel that YOUR A BEAUTIFUL SMART GIRL.
    Well done Sporah

    ReplyDelete
  10. Hongera Sporah, hii ndiyo tunaita 'full package', yaani uzuri, ubongo unachemka, unajua kuvaa n.k niisie hapo, listi ni ndeefu.

    ReplyDelete
  11. Ati ni mzungu au mwafrika jamani, nabishana na wenzangu hapa mbeya

    ReplyDelete
  12. Wakilisha, wakilisha Sporah, 2010,
    Umewin Award, Umewin Degree, Sporah show iko Tanzania, i hope unakaaga chini nakumshukuru Mungu maana kusema ukweli anakupendelea sana Sporah.Hongera sana Mama.

    ReplyDelete
  13. Hongera sana Sporah.

    ReplyDelete
  14. Nakubaliana na Mdau hapo juu, Wakina dada wanatakiwa kujua kwamba 21 Century, Beauty ya mwanamke ni Brain yake, Kama huna Brain basi huna uzuri wowote.
    Hongera sana Dada Sporah.

    ReplyDelete
  15. KILA MTU ANAVUNA ALICHOKIPANDA, sio kama unabahati sana kama mdau hapo juu anavosema "ETI MUNGU KAKUPENDELEA" NNOOO
    HAKUNA KITU KAMA HICHO.
    UKIPANDA MCHICHA UTAVUNA MCHICHA, UKUPANDA UZEMBE UTAVUNA UZEMBE NA UKIPANDA HARD WORK UTAVUNA MAFANIKIO, AS SIMPLE AS THAT. SO YOU DESERVE IT MREMBO.
    Hongera sana Spora, na Tunakupenda sana. Mungu akuzidishie.

    ReplyDelete
  16. Hongera Sporah. I am so proud of you!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...