Home
Unlabelled
tamasha la kuonja embe desemba 17-19 jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hizo embe dodo moja zinauzwa dola mpaka tatu huku majuu,je wakulima wanapata kipato tosha lakini.
ReplyDeleteSasa hata maembe yatauzwa kwa bei ya kitalii kwa mtindo huu.Mtanzania wa wakaida hatomudu kukunua hilo tunda tena.
ReplyDeleteMaembe yanalipa sana. Sisi hapa Japan tunanunua embe moja Yen 500, yaani karibu dola saba (yen 80 ni dola moja). maembe ya hapa ni ya kutoka Thailand na Mexico na sio matamu kama ya nyumbani.
ReplyDeleteHii itasaidia kuondoa umasikini kidogo kama watauza katika masoko ya huku.
Ankal nimeikuta hii ya NINGEKUWA SHETANI KWA WAAFRIKA ebu wawekee wadau waseme kama ni kweli ama vipi?
ReplyDeletehttp://joshuamhalila.blogspot.com/2009/08/ningekuwa-shetani-kwa-waafrika.html
Mdau
Msaada jamani.natafuta soko la maembe. Ninawezaje kuuza maembe yangu na mimi yanaishia mtini kama sijapata wanunuzi wa faida wa jumla nina miembe 20 tena Maembe dodo tena matamu sana yale asilia hebu nipeni maarifa niweze kuuza kwa faida na mimi jamani nifanyeje?
ReplyDeletealhaj hassan mwinyi ,nice picture mzee wetu
ReplyDeleteMdau Saula, tafadhali wasiliana na AZAM watanunua yote kwa bei nzuri sana
ReplyDeleteMdau saula, unaweza kuwasiliana na Chama cha wakulima wa embe (AMAGRO - +255 22 2126118) kama embe zako zina ubora unaokubalika.Pia wasiliana nao kama unataka kulima embe bora.
ReplyDeleteAsanteni kwa ukarimu anony wa Dec 14, 10:56:00 na Mr Burton nitajaribu kufatilia ushauri wenu Mungu awazidishie.
ReplyDelete