Mwanamuziki nyota wa Zenj Flvava Berry Black toka Zanzibar ametua nchini Ujerumani tayari kuanza show zake za 'BERRYBLACK EURO TOUR 2010/2011' na ameshukuru kwa mapokezi mazuri na kuahidi kufanya makubwa kwenye show zote huko ikiwa ni pamoja na Uswisi, Holland, Ubelgiji, Italy, Greece, Sweden na kwengineko. Anaahidi kutupa ratiba na mahali atakapokuwa muda si mrefu ujao. Pichani juu Berry Black akipokewa na wenyeji wake na chini akitoka stesheni ya treni la Limbecker.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nyinyi maoganaiza mlikua mumjulishe berryblack avae jacket sasa europe kote ni baridi.

    ReplyDelete
  2. WASILIANA NAMI HUKU FINLAND KUNA WATU WANAHAMU KUKUONA nipatie contact zak kwa mail lafleure355@yahoo.com as soon as possible tupange dili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...