Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiangalia embe na Waziri Kiongozi wa Zanzibar wakati huo Mh. Shamsi Vuai Nahodha wakati wa Tamasha la kuonja embe la mwaka jana jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hizo embe dodo moja zinauzwa dola mpaka tatu huku majuu,je wakulima wanapata kipato tosha lakini.

    ReplyDelete
  2. Sasa hata maembe yatauzwa kwa bei ya kitalii kwa mtindo huu.Mtanzania wa wakaida hatomudu kukunua hilo tunda tena.

    ReplyDelete
  3. Maembe yanalipa sana. Sisi hapa Japan tunanunua embe moja Yen 500, yaani karibu dola saba (yen 80 ni dola moja). maembe ya hapa ni ya kutoka Thailand na Mexico na sio matamu kama ya nyumbani.

    Hii itasaidia kuondoa umasikini kidogo kama watauza katika masoko ya huku.

    ReplyDelete
  4. Ankal nimeikuta hii ya NINGEKUWA SHETANI KWA WAAFRIKA ebu wawekee wadau waseme kama ni kweli ama vipi?

    http://joshuamhalila.blogspot.com/2009/08/ningekuwa-shetani-kwa-waafrika.html

    Mdau

    ReplyDelete
  5. Msaada jamani.natafuta soko la maembe. Ninawezaje kuuza maembe yangu na mimi yanaishia mtini kama sijapata wanunuzi wa faida wa jumla nina miembe 20 tena Maembe dodo tena matamu sana yale asilia hebu nipeni maarifa niweze kuuza kwa faida na mimi jamani nifanyeje?

    ReplyDelete
  6. alhaj hassan mwinyi ,nice picture mzee wetu

    ReplyDelete
  7. Mdau Saula, tafadhali wasiliana na AZAM watanunua yote kwa bei nzuri sana

    ReplyDelete
  8. Mdau saula, unaweza kuwasiliana na Chama cha wakulima wa embe (AMAGRO - +255 22 2126118) kama embe zako zina ubora unaokubalika.Pia wasiliana nao kama unataka kulima embe bora.

    ReplyDelete
  9. Asanteni kwa ukarimu anony wa Dec 14, 10:56:00 na Mr Burton nitajaribu kufatilia ushauri wenu Mungu awazidishie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...