Salam,
Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA unapenda kuwatakia wadau wote pale walipo xmas njema na kheri ya mwaka mpya 2011. Pia tunapenda kutoa Shukrani zetu kwa wadau wote waliotupa support ya namna moja au nyingine pamoja na kutoa comments mbalimbali kuhusiana na kazi zetu.

Mbali na hapo hatuwezi kusahau kutoa shukrani za pekee kwa Bloggers wote ambao wametusaidia kurusha kazi zetu ukianzia na Ankal MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGULI,

KANUMBA,RAY THE GREATEST ,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,BONGO CELEBRITY,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND
TV & RADIO STATION zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, FRED MTOI na Fred Macha, wadhamini wetu kampuni,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) na mwisho kabisa Ubalozi wetu wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wote.

Hivyo basi tunawomba mkae tayari kupokea mwaka mpya 2011 na programme za ukweli na kusisimua kutoka URBAN PULSE CREATIVE MEDIA.

ASANTENI,

URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
urbanpulsecreative@googlemail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...