Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa dogo Daniel leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Simfahamu huyu kijana. Lakini kwa hilo pozi tu namtabiria uongozi wa nchi baada ya miaka 27 hivi kutoka leo!
ReplyDeleteHappy Birthday Dan, hata mimi leo nimezaliwa, nimekuwa Bibi yako nimezaliwa 21st Dec. leo nina miaka 52. nilizaliwa saa 1 asubuhi. Hongera Dan
ReplyDeletePia muambie mama anitumie namba yake ya simu niongee naye!
Happy Birthday Daniel, how old are you?
ReplyDeleteTunakupongeza sana Uncle kwa kutuwekea picha ya rafiki yetu Daniel, Mimi tulikuwa tunasoma wote Prep II lake English Medium na Mungu akitupa uzima next year tutakuwa Standard one. Nawatakia wanablog wote Sikukuu njema ya X-Mass na kheri ya Mwaka mpya.
ReplyDeleteHIYA LITTLE Daniel Richard Kilimbe, JUST WISHING U A WONDERFUL LIFE IN UR FUTURE, BACK ON UR SUIT YOU LOOK REALLY GOOD LITTLE DANIE, HOPE U TO BECOME THE NEXT OBAMA. GODBLESS U AND UR FAMILY LITTLE BOY.
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY AND MERRY XMAS. BE GOOD BOY DANIE
SALAAM FROM UK.
THANKS
Jamani mtoto mzuri kweli happy birthday danieli, uwe na maadili mema na usomee siku moja uje kuwa bonge la mtu!
ReplyDeleteSoo cute!! Happy birthday
ReplyDeleteHappy Birthday Future CEO! Mungu akubariki akupe nguvu na maarifa.
ReplyDeleteBonge la suti!...
ReplyDeleteMnuso sehemu gani Mwanza? Na hamu ya pilau...
Big DAN...naweza kukuita hivyo maana umesimama kishupavu na kikomandoo mbele ya mambo ya taswila. happy birthday brother wishing you a long life but usitoe namba ya simu ya mama watu wataitumia vingine.
ReplyDeleteDuh dogo anaonekana baada ya miaka 20 hivi atachukua nafasi ya JK.
ReplyDeleteusije kuwa FISADII EEHH MTOTO
ReplyDelete