

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
will this work for any mobile phone? Will the Unyamwezini phones be able to transmit this vote? Is there an internet link?
ReplyDeletekwa nini nimpigie kura? kwa nini nipoteze pesa zangu kwa kumnufaisha mtu ambae hata simjui na wala hanijui? kwa nini nipoteze pesa zangu kwa mtu ambao nina hakika akitoka hapo ni bichwa kubwa na kujiona wa maana?
ReplyDeleteWatanzania hatupendani, ndo maana kushinda kwa mtanzania ni ngumu maana hatupigi kura. Akishinda ni Tanzania imeshinda pia naye atakuwa ameinuka zaidi kimziki haijalishi unamjua au haumjui ni vizuri ukimuona mwenzako anapiga hatua ukamtia moyo na pia kumpongeza kuliko kumponda na kusema haumjui au atakusaidiaje. Tupendane wa tanzania
ReplyDeleteMdau wa tatu tusidanganyane hapa, akishinda atakuwa ameshinda yeye na sio tanzania.
ReplyDeleteAkishinda itakuwa tanzania imeshinda? are you joking us? Kwanza sikumbuki watanzania kumchagua yeye au mwengine yeyote kutuwakilasha katika mashindano hayo, kwa maana hiyo officialy haiwakilishi tanzania.
ReplyDeletePili hakuna suali la kutopendana au kupendana ni suali la kumpa kura unaedhani ni bora bila ya kuangalia passport zao, rangu yao au kabila lao. Kuna point gani ya kumpa ushindi kwa kuwa tu ni mtanzania ilhali unajua kuwa mganda ni hodari zaidi. Huko ni kumdanganya yeye na kujidanganya binafsi. Wacheni ubaguzi na muwe wa kweli mnapoamua kupiga kura. Asili ya mtu isihusishwe!
Mtoa Maoni:Sun Dec 05, 11:46:00 PM, Nakuunga mkono kabisa hapa sio ametokea wapi bali ni kweli uwezo wake ni mkubwa kuliko mganda, full stop sio ubaguzi hata kama hajui
ReplyDelete