MWANDISHI WA HABARI WA MICHEZO WA MAGAZETI YA TANZANIA DAIMA NA SAYARI, JUMA KASESA AKIPOZI NA KOMBE LA TUSKER CHALENJI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. HII NI KATIKA KUONESHA JINSI WATANZANIA WALIVYOFARIJIKA NA USHINDI HUO BAADA YA MIAKA TAKRIBAN 15 HIVI YA UKAME WA USHINDI WA AINA YOYOTE ILE. KILI STARS OYE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...