Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akisisitiza jambo katika mkutano wake na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake mjini Dar es salaam
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (kushoto) akiongea na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake mjini Dar es salaam leo.Picha zote na Anna Itenda - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tueleze amesema nini kuhusu Katiba Mpya sio kutuwekea picha pekee bila habari

    ReplyDelete
  2. Nachompendea Waziri Pinda ana staili yake pekee.Nobody but him can rock a grey suit with blue socks on.Big ups mr Waziri Mkuu.LOL.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...