Mkongwe Jesus akiwa na wenzake wa FM Academia Wazee wa Pamba usiku huu kwenye kiota chao cha New Msasani Club ambako wamerudisha majeshi na kufanya bonanza la Ngwasuma kila Jumapili baada ya ukarabati mkubwa ukumbini hapo. Hivi sasa Wana Ngwasuma 'Wazee wa Pamba' wanajiandaa kutoa albamu yao mpya wakiwa na rap mpya ya 'Wabunge' ambayo ni ya kusisimua sana wanapoelezea jinsi wahweshimiwa wanavyounga mkono hoja kwa kugonga meza badala ya kupiga makofi. Inatia raha wallahi...
Mzee mzima PatPatchou Mwamba akiwa mzigoni
Tumba zinamkoma kijana huyu mtanashati.
Chini ni video ya sehemu ya rap hiyo mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii nimeipenda..sebene la fm academia sio mchezo. tnx bro michuzi.

    ReplyDelete
  2. Muko juuuu...juuu zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...