
UONGOZI NA WANACHAMA WA KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE UNAYO FURAHA KUWAFAHAMISHA WADAU WETU WOTE WA SOKA KUWA TIMU YETU YA U-20 (PICHANI JUU) IMEKUWA TIMU YA KWANZA KUTINGA HATUA YA ROBO FAINALI JANA BAADA YA TIMU YA MBURAHATI ALL STAR(MIRAMBO ) KUTOTOKEA UWANJANI NA HIVYO KCSC KUPEWA MAGOLI MATATU NA POINTI 3 NA KUFIKISHA JUMLA YA POINTI 8,BAADAE KCSC ILICHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA AMREF F.C NA KUISHINDA GOLI 7-0.KCSC INATEGEMEA KUKUTANA NA TIMU ZA SIMBA B,YANGA B AU AZAM B RATIBA YA ROBO FAINALI ITAKAPOTOLEWA.
IMETOLEWA NA
CHRIS FIDELIS
CHRIS FIDELIS
KATIBU MKUU MSAIDIZI-KCSC
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...