Hongera dada NANCY IBWE kwa kusherehekea kumaliza kidato cha 6 jana shuleni Boabab Bunju. Lililo mbele yako ni mitihani tunakutakia sisi wanafamilia wa IBWE tunakutakia mafanikio mema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwanafunzi mrembo..bila shaka na kichwani pia ni kuzuri.
    hongera karibu chuo..utanikuta mwaka wa nne.

    ReplyDelete
  2. Baobab haiko Bunju, ni vema taarifa ikawa sahihi kwani ikipotoshwa inawadumaza wengi. Baobab iko Mapinga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...