Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto),Makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ Seif Shariff Hamad(kushoto) pamoja na makamu wa pili wa Rasi wa SMZ Balozi Seif Iddi(kulia) wakati wa Mazishi ya Waziri mstaafu wa SMZ marehemu Salum Juma Othman yaliyofanyika huko Unguja leo mchana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kawenye kaburi la aliyekuwa Waziri mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Salum Juma Othman wakati wa mazishi yake yaliyofanika huko Unguja leo mchana. Marehemu Salum Othman aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama na Serikali zikiwemo uwaziri,ukuu wa mkoa, katibu mkuu wa UVCC na mjumbe katika tume za jaji Warioba,jaji Kisanga na jaji Nyalali.Pembeni ni Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa SMZ Seif Shariff Hamad.(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. POLENI SANA WAFIWA, MAREHEMU ALIWACHAA SOLEMBA WAKATI WA AWAMU YA SITA, JANA DR. KARUME ALIKUWEPO KTK MAZISHI NADHANI ALIKUWA ANATAFAKARI ALIVYMPIGA BAO WAKATI WA UTAWALA WAKE. HUYU ALIKUWA PRO COMANDOOO DR SALMIN AMOUR.

    ReplyDelete
  2. MIMI SIMTU WA SIASA LAKINI KIKWETE NI MTU WISE SANA.TUACHE UTAANI KWA YEYE PEKEE YAKE HAWEZI KUSAFISHA UFISADI.AMESAIDIA MENGI SANA JAPOKUWA KUNA BAADHI YA WATU WANAJARIBU KUVUNJA AMANI.AKIONDOKA NA ASILIMIA 100 ATAKUMBUKWA.

    kubadilisha tz yote sio mchezo kama watu wengine wanavyofikiria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...