Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwani hawana email? si kibaki angeandika tu email, au angempigia kiwete simu? unatuma delegation nzima kuleta barua!!!

    ReplyDelete
  2. Mh, ujumbe maalumu mbona hamkutupa hint ni kitu gani hasa? barua ya kuletwa mkono bora kuliko haya mambo ya mtandao maana kila unachokifanya kiko nje nje, itabidi turudi kwenye ujima. Unaandika barua yako, kwa peni na karatasi kisha ukiichoka unachana, hakuna kumbukumbu wala kesi. Si ajabu hiyo imeendikwa kwa mkno

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...