Home
Unlabelled
mama salma kikwete awaandalia sherry party wake wa mabalozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HIVI HIZO TICKETS ZA KUJA BONGO KALIPA NANI?? ROUND TRIP FIRST CLASS KWA WAKE WA MABALOZI WOTE HAO?? YAANI MAREKANI SIJAWAHI KUONA UCHAFU KAMA HUU.. DINNER ?? FLYING OVER FOR DINNER.. PRICE TAG WALALA HOI NI ATLEAST $100,000 (Yes million mia na kitu)
ReplyDeleteOyaaaa anoni hapo juu acha ujuba. soma habari vizuri. kazi kukosoa tu. at (bana pua) marekani sijui nini....We ushamba haujakutoka tu? Inaonesha wewe unaishi ghetto
ReplyDeleteAnnon hapo juu SEMA KAMA UNATAKA tufahamu uko USA...mbona hii kitu inafanyika kila mahali mwishoni mwa mwaka kujipongeza kwa kumaliza mwaka???halafu hawa hawajasafiri kama unavyofikiria, na pili LAZIMA UELEWE MAMA WA KWANZA ana budget yake ya vitu kama hivi sio unakurupuka tu toka kubeba mabox na kuja rusha utumbo wako hapa.nawakilisha,
ReplyDeleteMdau wa Ukerewe(UK)
Anon wa kwanza nafikiri unatakiwa kuomba msamaha, na next time kabla hujachangia au kutoa maoni soma habari uelewe. Hawa ni wake za mabalozi walioko nchini Tanzania (mabalozi wanaowakilisha mataifa mengine nchini kwetu) Tatizo kwa vile watu mko marekani mnajua kila kitu, soma habari, ielewe na kisha toa maoni. Mama Kikwete hongera kwa kuwaonyesha hao watu ukarimu ni tabia yetu, tusiwe wachoyo kila wakati unawaza uchumi mbaya
ReplyDelete