Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. cyril Chami akiangalia mfano wa kiatu wakati wa uzinduzi wa maonesho ya wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini Mauritius ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijni Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamaa kaduwaa anasema Duh Hiki kina mfaa yule kijana wetu Hasheem Thabeet.

    ReplyDelete
  2. Hata michuzi kinamfaa zaidi nasubiri siku ya besdai yake nimpe zawadi, kitaendanda na fulanazi

    ReplyDelete
  3. yakhe sisis watu wa kununuwa tu hatuwezi tengeneza na kuwauzia wengine we just can't just can't do any thing

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...