Home
Unlabelled
Mh. Nyalandu na wamachinga wa Kichina Kariako katika TBC1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Serikali yetu lazima iwe makini sana katika hili. Nina uhakika kuna sheria maalum ambazo zinawalinda raia wa kigeni. Kuna Watanzania ambao wanakaa nchi nyingi duniani na wanashughulika kama hawa na wanalindwa na sheria katika nchi hizo. Haingii akilini huyu Mheshimiwa akaamka na kuropoka kwamba hawa jamaa waondoke, hivi nchi gani inaweza kufanya hivi?(Inanikumbusha Iddi Amin kuwafukuza wahindi kule Uganda). Jamani tukae tukafikiria kwanza haya mambo, hivi waChina wakiamua kuzuia misaada yote, Tanzania watafanya nini? Hawa ndio viongozi bongo...miaka 50 ya uhuru, asilimia 80 bado wako vijijini wanalima na bado tunategemea mvua hata kama tumezungukwa na mito and maziwa makubwa Afrika!
ReplyDelete